Wanaocheza michezo ya kubahatisha wapewa ujumbe

Wanaocheza michezo ya kubahatisha wapewa ujumbe

Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), James Mbalwe amewashauri watu wanaokutana na changamoto ya kudhulumiwa baada ya kushinda kwenye michezo ya kubahatisha kupeleka malalamiko yao kwenye bodi hiyo, ili wasaidiwe kwa urahisi zaidi.

 Amesema wapo wanaokwenda Polisi, lakini huko watasikilizwa na kwa kuwa wengi hawana uelewa na michezo ya kubashiri matokeo, watawarudisha kwenye bodi.

Mbalwe amesema hayo jana Jumatano, Machi 6, 2024 katika kikao baina ya bodi hiyo, wahariri na waandishi wa habari kilichoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina na kufanyikia jijini Dar es Salaam.

“Ni rahisi zaidi kupata msaada ukija kwetu kama umedhulumiwa, tumekuwa tukipata changamoto hizi kutoka kwa wachezaji mbalimbali na tunazishughulikia hadi wanalipwa,” amesema.

Akitolea mfano baadhi ya washindi wa Novemba 2023, amesema walipata ushindi mkubwa na bodi hiyo iliwasimamia wote wakalipwa, mkurugenzi huyo amesema hiyo ni sehemu ya majukumu yao.

“Kudhulumiwa wachezaji ni moja ya changamoto tunazokabiliana nazo,” amesema.

Amesema changamoto nyingine ni baadhi ya watu kuanzisha michezo hiyo kienyeji bila leseni na baadhi kukiuka masharti ya leseni ya michezo hiyo.

“Hawa huwa tunawakamata na kuwapeleka kwenye sheria,” amesema.

Baadhi ya washiriki katika semina hiyo

Semina hiyo imelenga kutambulisha na kujua majukumu ya bodi hiyo sanjari na kukumbusha changamoto na mafanikio kwenye taasisi za umma katika utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan utakaofikisha miaka mitatu Machi 19, 2024.

Mbalwe amesema michezo ya kubahatisha ni burudani, haipaswi kubadilishwa na kuwa chanzo kikuu cha mapato na hilo wamekuwa wakilipazia sauti mara zote.

“Bahati nzuri wengi wameanza kuelewa, wanafanya kazi na kubeti kama sehemu ya burudani, tangu bodi hii imeanzishwa Julai mosi, 2003, changamoto zilikuwepo, tumeendelea kuzisimamia kwa ufanisi hadi sasa.

Akizungumzia mafanikio, amesema,”Kumekuwa na ongezeko la kodi kutoka Sh33.6bilioni 2016/17 hadi Sh 170.4 bilioni 2022/23.

“Mwaka huu makisio ni kukusanya Sh200 bilioni, kwa sasa katika kipindi cha Julai hadi Desemba mwaka jana kodi iliyopatikana ni Sh108 bilioni, makisio ni kukusanya bilioni 200 mwaka huu.

Amesema hivi sasa, kampuni 91 zimesajiliwa kufanya shughuli za michezo ya kubahatisha nchini.

“GBT imekuwa ikichangia kwenye mfuko mkuu wa Serikali na kwenye maendeleo ya jamii, sekta inakuwa na inaafanya vizuri kwenye burudani, biashara na uchumi.

“Bodi imetoa ajira rasmi na zisizo rasmi 25,000 mpaka, pia asilimia tano ya kodi ya sports betting (kubeti kwenye michezo) inakwenda BMT (Baraza la Michezo la Taifa) kuendeleza michezo nchini,” amesema.

Mkurugenzi huyo amesema,”wakati wa ukoloni, michezo hii ilikuwepo na ililenga kukusanya fedha kujenga huduma za jamii, hapa kwetu kabla ya GBT kulikuwa na Shirika la Bahati Nasibu ya Taifa,”

Katika hatua nyingine, Mkurugenzi wa Huduma wa GBT, Daniel Olesumaiya amesema mchakato wa kurejesha bahati nasibu ya taifa unaendelea.

“Mwezi huu tukihitimisha mchakato, mwaka ujao fedha tutaanza kuisikia bahati nasibu taifa, ambayo sheria inataka asilimia 50 ya mapato yake kusaidia michezo.

Akizungumzia uwekezaji kwenye michezo ya kubahatisha, Olesumaiya amesema inategemea inawekeza kwenye mchezo gani.

“Sera inasema kwa mwekezaji kutoka nje ya nchi, awe na kuanzia dola 500,000 na wa ndani dola 300,000.

“Kwenye Bahati nasibu ya taifa ni dola milioni 20, inategemea na uwekezaji, kwenye Cassino ni kama dola milioni moja,” amesema

Source: mwananchi.co.tz

Original Media Source

Share this news

Facebook
Twitter
LinkedIn
WhatsApp

This Year's Most Read News Stories

Tanzania Confirms Second Marburg Outbreak After WHO Chief Visit
Tanzania Foreign Investment News
Chief Editor

Tanzania Confirms Second Marburg Outbreak After WHO Chief Visit

Dar es Salaam — Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan has declared an outbreak of Marburg virus, confirming a single case in the northwestern region of Kagera after a meeting with WHO director-general Tedros Adhanom Ghebreyesus.

The confirmation follows days of speculation about a possible outbreak in the region, after the WHO reported a number of deaths suspected to be linked to the highly infectious disease.

While Tanzania’s Ministry of Health declared last week that all suspected cases had tested negative for Marburg, the WHO called for additional testing at international reference laboratories.

“We never know when an outbreak might occur in a neighbouring nation. So we ensure infection prevention control assessments at every point of care as routine as a morning greeting at our workplaces.”Amelia Clemence, public health researcher

Subsequent laboratory tests conducted at Kagera’s Kabaile Mobile Laboratory and confirmed in Dar es Salaam identified one positive case, while 25 other suspected cases tested negative, the president told a press conference in Dodoma, in the east of the country today (Monday).

“The epicentre has now shifted to Biharamulo district of Kagera,” she told the press conference, distinguishing this outbreak from the previous one centred in Bukoba district.

Tedros said the WHO would release US$3 million from its emergencies contingency fund to support efforts to contain the outbreak.

Health authorities stepped up surveillance and deployed emergency response teams after the WHO raised the alarm about nine suspected cases in the region, including eight deaths.

The suspected cases displayed symptoms consistent with Marburg infection, including headache, high fever, diarrhoea, and haemorrhagic complications, according to the WHO’s alert to member countries on 14 January. The organisation noted a case fatality rate of 89 per cent among the suspected cases.

“We appreciate the swift attention accorded by the WHO,” Hassan said.

She said her administration immediately investigated the WHO’s alert.

“The government took several measures, including the investigation of suspected individuals and the deployment of emergency response teams,” she added.

Cross-border transmission

The emergence of this case in a region that experienced Tanzania’s first-ever Marburg outbreak in March 2023 has raised concerns about cross-border transmission, particularly following Rwanda’s recent outbreak that infected 66 people and killed 15 before being declared over in December 2024.

The situation is particularly critical given Kagera’s position as a transport hub connecting four East African nations.

Amelia Clemence, a public health researcher working in the region, says constant vigilance is required.

“We never know when an outbreak might occur in a neighbouring nation. So we ensure infection prevention control assessments at every point of care as routine as a morning greeting at our workplaces.”

The Kagera region’s ecosystem, home to fruit bats that serve as natural reservoirs for the Marburg virus, adds another layer of complexity to disease surveillance efforts.

The virus, closely related to Ebola, spreads through contact with bodily fluids and can cause severe haemorrhagic fever.

Transparency urged

Elizabeth Sanga, shadow minister of health for Tanzania’s ACT Wazalendo opposition party, says greater transparency would help guide public health measures.

“This could have helped to guide those who are traveling to the affected region to be more vigilant and prevent the risk of further spread,” she said.

WHO regional director for Africa Matshidiso Moeti says early notification of investigation outcomes is important.

“We stand ready to support the government in its efforts to investigate and ensure that measures are in place for an effective and rapid response,” she said, noting that existing national capacities built from previous health emergencies could be quickly mobilised.

The situation coincides with leadership changes in Tanzania’s Ministry of Health, with both the chief medical officer and permanent secretary being replaced.

This piece was produced by SciDev.Net’s Sub-Saharan Africa English desk.

Source: allafrica.com

Continue Reading