BBC News: Waendeshaji wa Shirika la Ndege la Tanzania wamekasirika wakati Zanzibar ikitoa vituo vya ndege kwenda Dubai
• Mchakato wa kutoa zabuni kwa DNATA haukuwa “wazi, na utaratibu unaostahili haukufuatwa na ulifanyika kinyume na sheria”, ilisema taarifa hiyo.
• Opereta mpya inaanza kazi rasmi katika kituo hicho kuanzia tarehe 1 Desemba, ambacho kilijengwa kwa gharama ya $120m (£101m).
- Pambano hili linatarajiwa kutawala siasa visiwani Zanzibar.
Waendeshaji wa Shirika la Ndege la Tanzania wamekasirika wakati Zanzibar ikitoa vituo vya ndege kwenda Dubai
Chama cha Watoa huduma za Anga Tanzania kimesema kwamba zaidi ya wafanyakazi 600 watapoteza kazi baada ya serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuipa ukiritiba kampuni moja ya Dubai shughuli za kuhudumia mizigo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Chama hicho kimsema mkataba wa DNATA unakiuka sheria inayozuia kampuni moja kupewa haki za kipekee bila ushindani katika kitoa huduma kwenye viwanja vikubwa vya ndege.
Kampuni hiyo ya DNATA iliyosajiliwa katika Soko la Hisa la London, imepewa mkataba na Serikali mkataba ambao ni ukiukaji wa sheria ya kupiga marufuku kampuni yoyote kuwa na haki ya kipekee ya kutoa huduma katika Viwanja vikubwa vya ndege hapa nchini huku wakiyaacha Makampuni ya Kizalendo yaliyoajiri watu wengi bila kazi.
Mchakato wa kutoa zabuni kwa Dnata haukuwa “wazi, na utaratibu unaofaa haukufuatwa na ulifanyika kinyume na sheria”, ilisema taarifa hiyo.
Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi alitetea uamuzi wa serikali, akisema lengo ni “kutoa viwango vya hadhi ya kimataifa” katika jengo jipya la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.
Kampuni ya Dnata imetakiwa kuanza kazi rasmi Desemba Mosi ambapo gharama za ujenzi wa jengo jipya la abiria umegharibu kiasi cha Dola 120. (£101m).
Jengo hilo jipya linatarajia kuongeza idadi ya abiria wanaotumia uwanja huo kutoka idadi ya chini ya milioni moja kwa mwaka hadi milioni 1.5, kulingana na ripoti za awali za serikali.
Utalii ndio chanzo kikuu cha mapato kwa Zanzibar na sekta ya ndege ni mdau mkubwa.
Ukiukwaji wa sheria uliofanywa kwa makusudi umesababisha mvutano baina ya makampuni ya Kizalendo huku mijadala katika siasa ikitawala ajenda ya vijana wa Kizanzibari kupoteza ajira zao kwa sababu ya manufaa ya kampuni moja ya Dubai.
Angalia pia:
- Muslims in Pemba conduct special prayer against ZAA decision
- Zanzibar Airport Authority to audit ground handlers
- Zanzibar airport monopoly puts 600 jobs at risk
- Ground handlers at Zanzibar airport given two months to vacate terminal 3
Share this news
This Year’s Most Read News Stories
Tanzania Confirms Second Marburg Outbreak After WHO Chief Visit
Dar es Salaam — Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan has declared an outbreak of Marburg virus, confirming a single case in the northwestern region of Kagera after a meeting with WHO director-general Tedros Adhanom Ghebreyesus.
The confirmation follows days of speculation about a possible outbreak in the region, after the WHO reported a number of deaths suspected to be linked to the highly infectious disease.
While Tanzania’s Ministry of Health declared last week that all suspected cases had tested negative for Marburg, the WHO called for additional testing at international reference laboratories.
“We never know when an outbreak might occur in a neighbouring nation. So we ensure infection prevention control assessments at every point of care as routine as a morning greeting at our workplaces.”Amelia Clemence, public health researcher
Subsequent laboratory tests conducted at Kagera’s Kabaile Mobile Laboratory and confirmed in Dar es Salaam identified one positive case, while 25 other suspected cases tested negative, the president told a press conference in Dodoma, in the east of the country today (Monday).
“The epicentre has now shifted to Biharamulo district of Kagera,” she told the press conference, distinguishing this outbreak from the previous one centred in Bukoba district.
Tedros said the WHO would release US$3 million from its emergencies contingency fund to support efforts to contain the outbreak.
Health authorities stepped up surveillance and deployed emergency response teams after the WHO raised the alarm about nine suspected cases in the region, including eight deaths.
The suspected cases displayed symptoms consistent with Marburg infection, including headache, high fever, diarrhoea, and haemorrhagic complications, according to the WHO’s alert to member countries on 14 January. The organisation noted a case fatality rate of 89 per cent among the suspected cases.
“We appreciate the swift attention accorded by the WHO,” Hassan said.
She said her administration immediately investigated the WHO’s alert.
“The government took several measures, including the investigation of suspected individuals and the deployment of emergency response teams,” she added.
Cross-border transmission
The emergence of this case in a region that experienced Tanzania’s first-ever Marburg outbreak in March 2023 has raised concerns about cross-border transmission, particularly following Rwanda’s recent outbreak that infected 66 people and killed 15 before being declared over in December 2024.
The situation is particularly critical given Kagera’s position as a transport hub connecting four East African nations.
Amelia Clemence, a public health researcher working in the region, says constant vigilance is required.
“We never know when an outbreak might occur in a neighbouring nation. So we ensure infection prevention control assessments at every point of care as routine as a morning greeting at our workplaces.”
The Kagera region’s ecosystem, home to fruit bats that serve as natural reservoirs for the Marburg virus, adds another layer of complexity to disease surveillance efforts.
The virus, closely related to Ebola, spreads through contact with bodily fluids and can cause severe haemorrhagic fever.
Transparency urged
Elizabeth Sanga, shadow minister of health for Tanzania’s ACT Wazalendo opposition party, says greater transparency would help guide public health measures.
Sign up for free AllAfrica Newsletters
Get the latest in African news delivered straight to your inbox
“This could have helped to guide those who are traveling to the affected region to be more vigilant and prevent the risk of further spread,” she said.
WHO regional director for Africa Matshidiso Moeti says early notification of investigation outcomes is important.
“We stand ready to support the government in its efforts to investigate and ensure that measures are in place for an effective and rapid response,” she said, noting that existing national capacities built from previous health emergencies could be quickly mobilised.
The situation coincides with leadership changes in Tanzania’s Ministry of Health, with both the chief medical officer and permanent secretary being replaced.
This piece was produced by SciDev.Net’s Sub-Saharan Africa English desk.
Source: allafrica.com
For years, a UK mining giant was untouchable in Zambia for pollution until a former miner’s son took them on
For years, the people in the villages around Chingola in Zambia endured frequent health challenges and dead fish floating around in their water source, but that was just the beginning of their nightmare.Continue Reading
Shock waves hit Zanzibar’s Real Estate industry
The revocation of British developer Pennyroyal’s leasehold for the construction of Blue Amber Resort by the Revolutionary Government of Zanzibar has sent shock waves in the nascent property market on the Isles.Continue Reading