ZRA inavyojipanga kudhibiti rushwa Zanzibar
Wakati Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) ikitunukiwa tuzo ya udhibiti vitendo vya rushwa, imesema hatua hiyo imeongeza morali kuendelea kupambana na vitendo hivyo ili kufikia malengo ya kukusanya zaidi ya Sh800 bilioni mwaka 2024/25.Continue Reading