Mhasibu, ofisa Tehama SDA kizimbani wakidaiwa kuiba Sh717 milioni
Watu watatu wakiwemo mhasibu na ofisa Tehama wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania (SDA), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka manane, likiwamo la kutakatisha fedha na wizi wa Sh717 milioni mali ya kanisa hilo.Continue Reading