CWT yawafedhehesha walimu Songwe
Kwa upande wake, mwalimu Bestina Mbuligwe amesema wamesherekea sikukuu ya wafanyakazi kama yatima kutokana na sintofahamu ya kukosa sare za walimu mkoa wa Songwe ambao ni wanachama wa (CWT), kitendo ambacho kimewafanya wazomewe na wenzao wa chama kipya cha Chakuhawata (Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania).Continue Reading