Wafanyabiashara Shaoyang kushirikiana na wenzao Tanzania kibiashara
Jumuiya ya wafanyabiashara katika Manispaa ya Shaoyang nchini China, imesema inalenga kushirikiana na wenzao wa Tanzania ili kukuza uhusiano uliopo kibiashara baina ya nchi hizo.Continue Reading