Waziri Kombo ajivunia ushirikiano wa China na Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, amesema mataifa ya Afrika yanapaswa kuuangalia ushirikiano wa China na Tanzania kama mfano wa maendeleo, akibainisha kuwa unatoa taswira ya maono ya pamoja kwa ajili ya mabadiliko, ustawi, na kisasa.Continue Reading