Rais Samia kufanya ziara Ethiopia, kushiriki mkutano AU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Ethiopia kuanzia Februari 15 hadi 16 sambamba na ziara hiyo atashiriki mkutano wa Umoja wa Afrika (AU).Continue Reading