Taarifa ya awali ripoti ya ajali ya ndege Ziwa Victoria
TANZANIA: Taarifa ya awali ripoti ya ajali ya ndege Ziwa Victoria: ‘Vikosi vya uokoaji vingefika haraka, watu wengi wangetoka hai’’Continue Reading
Hii ni tovuti ya idhaa ya Kiswahili inayokuletea habari na makala kutoka Zanzibar, Tanzania, Afrika na duniani kote kwa lugha ya Kiswahili.
TANZANIA: Taarifa ya awali ripoti ya ajali ya ndege Ziwa Victoria: ‘Vikosi vya uokoaji vingefika haraka, watu wengi wangetoka hai’’Continue Reading
Chama cha Watoa huduma za Anga Tanzania kimesema kwamba zaidi ya wafanyakazi 600 watapoteza kazi baada ya serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuipa ukiritiba kampuni moja ya Dubai shughuli za kuhudumia mizigo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.Continue Reading
Huduma ya mtandao ya Elon Musk ya Starlink inatarajiwa kupatikana nchini Tanzania katika robo ya kwanza ya 2023, huku wachambuzi wakisema maendeleo hayo mapya yatakuza uchumi wa kidijitali.Continue Reading
Michuano ya kuwania ushindi wa Kombe la Dunia 2022 itaanza Novemba 20, wakati ambapo timu 32 zitakuwa zinapigania kuingia kwenye fainali itakayofanyika Desemba 18. Fahamu ni timu gani inayoweza kuwa mshindi wa Kombe la Dunia 2022 na kwa nani?Continue Reading
Huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja Zanzibar zimezidi kuzorota huku wananchi wengi wakilalamikia uongozi wa Hospitali hiyo na watendaji wake.Continue Reading
Fuatilia moja kwa moja matokeo ya mechi na Ratiba ya Kombe la Dunia nchini QatarContinue Reading
TANZANIA: Siku 11 baada ya ajali ya ndege ya Precision Air nchini Tanzania, iliyoua watu 19, Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imeshindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera, kutokana na hali mbaya ya hewa.Continue Reading
Mwamuzi wa Rwanda Salima Mukansanga anatumai kuchaguliwa kuwa refa katika Kombe la Dunia la 2022 kutasaidia kufungua milango kwa marefa wengine wa kike wanaotaka kuwa wasimamizi wa mechi barani Afrika.Continue Reading
Kuanguka kwa roketi katika kijiji cha Poland cha Przewodow. Nini kinafahamika hadi sasa?Continue Reading
Wananchi wengi hasa katika maeneo ya Mjini Unguja, wanalalamikia ukosefu wa maji safi na salama huku Mamlaka ya Maji Zanzibar ikikabiliwa na changamoto ya ukosefu wa ujuzi na wataalam katika masuala ya uandisi wa Maji na fani nyengine.Continue Reading
Zanzibar Investment News Tanzania Investors Ltd © 2025