Sh4.7 bilioni zawezesha vijana 1, 000 kujiajiri Mwanza
Zaidi ya Sh4.7 bilioni zimewanufaisha vijana zaidi ya 1, 000 kutoka Kata 11 za Wilaya ya Nyamagana na Ilemela zinazounda jiji la Mwanza kupitia mradi wa Vijana Maisha na Kazi uliokuwa unatekelezwa na Shirika la Plan International.Continue Reading