Jinsi Dola 3,900 zilivyomtupa jela bosi wa kampuni ya Utalii Arusha
Mkurugenzi huyo akamuomba Mogasati kulipa ada hizo kwa masharti kuwa angezirejesha fedha hizo mara tu akaunti yake ikifunguliwa na Serikali, hivyo Mogasati akalipa Dola 7,800 za Marekani, sawa na zaidi ya Sh19.5 milioni za Tanzania.Continue Reading