Meli iliyozama bandarini Dar TPA yaambulia fidia Sh100 milioni
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imekwama kupata fidia iliyoomba na kuambulia kiduchu kwenye kesi ya meli iliyozama bandarini Dar es Salaam mwaka 1999.Continue Reading
Hii ni tovuti ya idhaa ya Kiswahili inayokuletea habari na makala kutoka Zanzibar, Tanzania, Afrika na duniani kote kwa lugha ya Kiswahili.
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imekwama kupata fidia iliyoomba na kuambulia kiduchu kwenye kesi ya meli iliyozama bandarini Dar es Salaam mwaka 1999.Continue Reading
Utaratibu ulioanzishwa na Serikali wa kuendesha huduma za maabara za afya kwa utaratibu wa ubia kupitia kampuni na mashirika binafsi kwenye hospitali, umeendelea kuibua wasiwasi kwa wataalamu na wameshauri uangaliwe upya.Continue Reading
Aprili 26, 2024, Tanzania itaadhimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Shughuli mbalimbali ikiwemo maombi maalumu yatakayofanyikia Dodoma.Continue Reading
Rais Samia ambaye leo ni siku yake ya pili katika ziara hiyo ya kiserikali amesema kesho Ijumaa Aprili 19, 2024 wanatarajia kufanya mkutano wa biashara ambao utawakutanisha wafanyabiashara wa Tanzania na UturukiContinue Reading
Zanzibar licha ya kuwa na miundombinu ya barabara, bado ina safari ndefu ya kuziwezesha kuwa na sifa hiyoContinue Reading
Inaelezwa washtakiwa wakiwa raia wa Tanzania, waliondoka isivyo halali nchini kueleleka Afrika KusiniContinue Reading
“Hayati Mwalimu Nyerere alifungua njia alipotembelea Beijing Februari 1965, Waziri Mkuu wa China Zhou Enlai naye alikuja Juni mwaka huohuo.”Continue Reading
Kwa mujibu wa ripoti ya Finscope Zanzibar ya mwaka 2023, sababu za hali hiyo ni uwepo wa majengo mengi ya kaleContinue Reading
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza uwepo wa mvua kubwa kwa siku tano mfululizo katika mikoa kadhaa kuanzia leo Aprili 13, 2024.Continue Reading
Kutokana na athari za mafuriko katika Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani, Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Mobhare Matinyi amesema Serikali haiwezi kutumia nguvu kuwahamisha wananchi walio karibu na Bonde la Mto Rufiji.Continue Reading
Zanzibar Investment News Tanzania Investors Ltd © 2025