Ujenzi wa barabara watajwa kuwakosesha wananchi maji
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (Zawa) kukosekana kwa maji kunatokana na ujenzi wa Barabara ya Amani KwerekweContinue Reading
Hii ni tovuti ya idhaa ya Kiswahili inayokuletea habari na makala kutoka Zanzibar, Tanzania, Afrika na duniani kote kwa lugha ya Kiswahili.
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (Zawa) kukosekana kwa maji kunatokana na ujenzi wa Barabara ya Amani KwerekweContinue Reading
Hatua hiyo inakuja baada ya kutokea vifo na wengine kulazwa hospitalini baada ya kula nyama ya kasa katika visiwa vya Unguja na Pemba ambapo tukio la Machi 5, mwaka huu walikufa watu tisa na wengine 98 kulazwa hospitalini baada ya kula kasa katika Kisiwapanza Pemba.Continue Reading
Kazi nyingine itakayofanywa ni kutoa vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) na mtandao kwa vitengo 142 vya afya ya msingi (PHCU+).Continue Reading
Mahakama ya Rufani imebatilisha hukumu iliyoipa ushindi kampuni ya State Oil Tanzania katika kesi ya mgogoro wa malipo ya mkopo wa Dola za Marekani 18.64 milioni (zaidi ya Sh47 bilioni) dhidi ya Equity Bank Tanzania Limited (EBT) na Equity Bank Kenya Limited (EBK).Continue Reading
Hayo yamebainishwa jana Ijumaa Mei 17 2024 katika kongamano la usafiri wa anga lililojumuisha wadau 200 wa anga kutoka nchi 10, uliofanyika visiwani Zanzibar kwa siku tatuContinue Reading
“Kukua kwa utalii wa Zanzibar kumesaidia sana kusukuma maendeleo ya utalii katika hifadhi yetu, wengi wanaotembelea hapa wanatokea Zanzibar na hutua hapa kwa ndege na baada ya kumaliza shughuli zao hurudi Zanzibar,” amesema Fatuma.Continue Reading
Serikali yahojiwa ina mpango gani wa kutengeneza fukwe za bahari zilizoathirika upande wa Zanzibar.Continue Reading
“Kwa mara ya kwanza Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa Sh100 bilioni kwa ajili ya mtaji wa MSD. Nimepata fedha hizi kutoka kwa Waziri wa Fedha wiki iliyopita,” amesema Ummy.Continue Reading
Jeshi la Polisi limetangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa vijana wenye elimu ya shahada, astashahada, kidato cha sita na nne, huku moja ya sifa kwa muombaji lazima awe raia wa Tanzania wa kuzaliwa.Continue Reading
Licha ya kuwapo madai kuwa kodi ya Zanzibar ni kubwa, Mwenda amesema mfanyabiashara ambaye mauzo yake hayafiki Sh5 milioni kwa mwaka amesamehewa kulipa kodi.Continue Reading
Zanzibar Investment News Tanzania Investors Ltd © 2025