Dk Mollel: Hakuna mgonjwa yeyote wa homa ya nyani Tanzania
meelezwa kuwa hadi sasa hakuna mgonjwa aliyethibitika kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) nchini Tanzania hivyo wananchi wanatakiwa kutokuwa na hofu bali waendelea kuchukua tahadhari.Continue Reading