Shirika la Umeme Zanzibar ZECO likiwa halifanyi kazi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, amefanya ziara ya kushtukiza katika Makao Makuu ya ZECO Gulioni ambapo hakuridhishwa na haki ya kufanya kazi.Continue Reading
Hii ni tovuti ya idhaa ya Kiswahili inayokuletea habari na makala kutoka Zanzibar, Tanzania, Afrika na duniani kote kwa lugha ya Kiswahili.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, amefanya ziara ya kushtukiza katika Makao Makuu ya ZECO Gulioni ambapo hakuridhishwa na haki ya kufanya kazi.Continue Reading
Ijumaa, Januari 27, KLM iliorodhesha Kenya na Tanzania kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii na tovuti rasmi kama nchi zinazokumbwa na machafuko ya wenyewe kwa wenyewe.Continue Reading
Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua nafasi za watendaji watano akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Mbarali (DC)Continue Reading
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), imewatimua vigogo wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) kwa kushindwa kufika mbele ya kamati hiyo kwa Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi wa shirika hilo.Continue Reading
Chama cha ACT Wazalendo kimeishauri Serikali kuja na mpango mkakati maalum wa kibajeti utakaosaidia kumaliza deni la ndani lilofikia asilimia 30 ambalo athari zake zitaendelea kuwaumiza wananchi.Continue Reading
Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Ijumaa, Januari 13 imebadilishwa jina na kuitwa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA)Continue Reading
Serikali imeshauriwa kufanya mabadiliko ya jina la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe (SIA) uitwe jina la mkoa husika (Mbeya) ili kuondoa mkanganyo kwa wageni wanaoingia na kutoka mkoani humo kwa shughuli mbalimbali.Continue Reading
Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amefungua shule ya msingi ya ghorofa ya Salum Turky Mpendae kwa Bint Hamrani kisiwani Unguja, akieleza kukerwa na matokeo mabaya ya mitihani visiwani humo.Continue Reading
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameruhusu mikutano ya hadhara ikiwa ni miongoni mwa agenda za muda mrefu vyama vya upinzani kutaka mikutano hiyo iruhusiwe.Continue Reading
Tanzania imeshika nafasi ya pili Afrika Mashariki na ya tisa kati ya nchi kumi bora barani Afrika zenye wanasayansi bora waliotoa mchango mkubwa katika ulimwengu wa sayansi, kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la kimataifa la sayansi (AD Scientific Index 2023).Continue Reading
Zanzibar Investment News Tanzania Investors Ltd © 2025