Wafanyabiashara Kilombero mfano bora kulipa kodi kwa hiari
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro imesema kuwa hali ya ulipaji kodi katika wilaya hiyo ni mzuri, kwani wafanyabiashara wanalipa kodi kwa hiari na kwa wakati shuruti.Continue Reading