Matinyi: Serikali haitatumia nguvu kuhamisha wanachi Rufiji
Kutokana na athari za mafuriko katika Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani, Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Mobhare Matinyi amesema Serikali haiwezi kutumia nguvu kuwahamisha wananchi walio karibu na Bonde la Mto Rufiji.Continue Reading