Hisia tofauti uteuzi wa mawaziri, Mkurugenzi wa Uchaguzi
Kufuatia mabadiliko ya baadhi ya viongozi yaliotangazwa leo Februari, 26 ambapo Rais Samia Suluhu Hassan, amewateua na kuwahamisha wizara baadhi ya mawaziri na naibu mawaziri, wakuu wa mikoa, makatibu na naibu makatibu wakuu pamoja na kumteua Mkurugenzi wa Uchaguzi wadau mbalimbali wametoa maoni yao juu ya mabadiliko hayo.Continue Reading