Zitto na Othman wapania kuongoza dola 2025
Katika hotuba yake, mwanasiasa huyo aliyestaafu uongozi wa juu ndani ya chama hicho, amesema yupo tayari kwa kila namna na wakati wowote kuwa Rais wa Tanzania. Huku akimpa jukumu la kufanya hivyo upande wa visiwani Othman.Continue Reading