Balozi wa Marekani atoa tahadhari ongezeko la watu Tanzania
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle ametoa tahadhali ya ongezeko la idadi ya watu nchini akisema linaweza kuwa neema au kinyume chake, huku akisisitiza juu ya umuhimu wa teknolojia ya dijitali ili kulete manufaa zaidi.Continue Reading