Serikali: Fedha zinazotumika kukarabati viwanja vya CCM zitarudi kwa umma
Serikali ya Tanzania imewaondoa hofu Watanzania kuwa fedha zitakazotumika kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) zitarejeshwa kwa umma, ili zitumike kufanya mambo mengine.Continue Reading