Jaji Tiganga ataka ushiriki wa sekta binafsi udhibiti taka ngumu
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha, Joachimu Tiganga ameitaka Serikali kuishirikisha sekta binafsi na kuweka mazingira wezeshi ya kusaidia katika udhibiti wa taka ngumu zinazozagaa mitaani.Continue Reading