UNDP yaionyesha njia Tanzania ya kuvuta uwekezaji zaidi
Shirika la Kimataifa la Maendeleo (UNDP) limesema ili Tanzania iweze kupanda zaidi daraja la uwezo wa kukopesheka (credit rating) na hivyo kuvuta uwekezaji zaidi ni lazima kuboresha usimamizi wa uchumi.Continue Reading