KONA YA MALOTO: Vifo vya mabilionea Tanzania inajifunza nini?
Agosti 1906, mwandishi wa Marekani, Ida Tarbell, alikamilisha mfululizo wa makala ambayo aliyapa kichwa “John D Rockefeller: A Character Study”, kwa Kiswahili unaweza kuiweka hivi, “John D Rockefeller: Somo la Uhusika.” Nakala ya kwanza ilitoka mwaka 1905 kwenye Jarida la McClure.Continue Reading