Serikali na jumuiya ya wafanyabiashara walivyokubaliana kumaliza mgomo
Serikali ya Tanzania na Jumuiya ya Wafanyabiashara (JWT) wamefikia makubaliano ya kumaliza mgomo wa wafanyabiashara uliokuwa ukiendelea nchini baada ya kuweka maazimio 15. Makubaliano hayo yametangazwa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba, katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Juni 27, 2024.Continue Reading