Omba msaada wa Mungu kuyashinda majaribu unayopitia
Bwana Yesu asifiwe. Nakukaribisha katika mahubiri ya siku ya leo. Mimi ni Mwalimu George Mbwambo kutoka Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Usharika wa Buza.Continue Reading