Tanzania, Comoro kuimarisha ushirikiano maeneo manne
Tanzania na Visiwa vya Comoro zimesaini Hati nne za makubaliano kwenye kilele cha mkutano wa kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Comoro uliofanyika Julai 24, 2024 jijini Dar es Salaam.Continue Reading