Spika Tulia atoa neno barabara zenye mashimo
Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson ametoa agizo kwa mameneja wa mikoa wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kuhakikisha wanatoa taarifa za barabara zinazohitaji matengenezo haraka ili kuepusha ujenzi upya usio wa lazima.Continue Reading