Changamoto sita za kimazingira Zanzibar, wadau wapendekeza hatua za kuchukua
Zanzibar inakabiliwa na changamoto za kimazingira, ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kina cha bahari, uvamizi wa maji ya chumvi, mmomonyoko wa fukwe, na hali mbaya ya hewa.Continue Reading