TIA kuwapiga msasa kidigitali watu wenye mahitaji maalumu
Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kupitia kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wake, Dk Momole Kasambala imetangaza mpango wake wa kuhakikisha wanafunzi wenye mahitaji maalumu wanaosoma kwenye vyuo vya taasisi hiyo, wanapata mafunzo ya teknolojia kama wanafunzi wengine.Continue Reading