TTPHPA kuongeza nguvu mikoa inayovamiwa na visumbufu mimea
Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) inatarajia kuongeza nguvu katika mikoa inayoonekana kuvamiwa zaidi na visumbufu mimea hasa wadudu na ndege waharibifu, ili kukabiliana na hasara wanayoipata kutokana na uharibifu wa mazao unaofanywa na wadudu pamoja na ndege hao.Continue Reading