Muswada Sheria ya Fedha watenga asilimia mbili Bima ya Afya kwa Wote
Serikali ya Tanzania imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Fedha kwa mwaka 2024 ambao unapendekeza asilimia mbili ya mapato yanayotokana na ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji laini, vileo na vipodozi ziwekwe katika Mfuko wa Bima wa Afya kwa Wote (UHC).Continue Reading