Wananchi Paje wataka ushirikishwaji ujenzi uwanja wa ndege
Wananchi zaidi ya 400 katika Kijiji cha Paje Mkoa wa Kusini Unguja, wameingiwa wasiwasi kuhusu kuhamishwa eneo hilo, kupisha ujenzi wa uwanja wa ndege wakidai hawajashirikishwa.Continue Reading