Serikali kushirikisha vijana kupambana na uhalifu
Bashungwa aliyemwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Biteko ameyasema hayo leo Desemba 14, 2024 wakati akizungumza katika mkutano mkuu wa sita wa Chama cha Skauti Tanzania (TSA), uliofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa jijini DodomaContinue Reading