Sh350 milioni zakusanywa CRDB Bank Marathon, Dk Biteko atoa ujumbe
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ameipongeza taasisi ya CRDB Bank Foundation kwa kuendelea kuandaa mbio za CRDB Bank Marathon ambazo zimejielekeza kusaidia jitihada za Serikali kuboresha sekta ya afya, kusaidia wenye uhitaji pamoja na kukuza ustawi wa jamii.Continue Reading