Rais Samia awapa mbinu wamiliki wa mabasi kukabili ushindani wa SGR
Rais Samia Suluhu Hassan amesema licha ya athari zilizoanza kujitokeza kwa wamiliki wa mabasi na malori, bado Tanzania ina fursa nyingi za wasafirishaji hao kunufaika.Continue Reading