Bodi ya Korosho kutumia BBT kufikia malengo

Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) imeendesha mafunzo kwa vijana na maofisa kilimo 150 kutoka Mkoa wa Lindi kupitia programu ya “Jenga Kesho Ilio Bora” (BBT), lengo likiwa ni kuongeza uzalishaji wa korosho nchini ili kufikia malengo ya Serikali ya kuzalisha tani milioni moja ifikapo mwaka 2030.Continue Reading