Dorothy Semu asimulia walivyozuiwa kwa saa nane Angola
Semu alikuwa kundi moja na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Othman Masoud ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais, Zanzibar na Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu walizuiwa na mamlaka za Angola kuingia nchini humo jana.Continue Reading