TMA yatoa tahadhari ya upepo mkali kwa siku tatu mfululizo
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya uwezekano wa kutokea kwa upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa, kwa siku tatu mfululizo kuanzia leo Jumapili Septemba 1 hadi 3, 2024 katika baadhi ya mikoa nchini.Continue Reading