Sakata la uraia wa ‘mchongo’ wachezaji wa Singida lachukua sura mpya
Sakata la wachezaji watatu wa timu ya Singida Black Stars (SBS), waliopewa uraia wa Tanzania, limechukua sura mpya baada ya Wakili Peter Madeleka kutangaza kufungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu.Continue Reading