Dk Biteko atoa maagizo kwa Tanesco akizindua ujenzi mradi wa Malagarasi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kuhakikisha Mkoa wa Kigoma unaunganishwa kwenye gridi ya Taifa ifikapo mwisho mwa mwaka 2024.Continue Reading