Mafuru afariki dunia, Rais Samia aomboleza
Amewahi kuwa Msajili wa Hazina na Ofisa mtendaji mkuu wa Benki ya NBC TanzaniaContinue Reading
Amewahi kuwa Msajili wa Hazina na Ofisa mtendaji mkuu wa Benki ya NBC TanzaniaContinue Reading
African music is on fire—like, hot-out-of-the-pan chips mayai (or zege, as the streets call it) kind of fire. Yet, when the 67th Grammy nominations dropped, the absence of TitoM and Diamond Platnumz, for example, was like discovering your favourite roadside chips mayai joint wasn’t on the “best restaurants” list. Tasty? Absolutely. Acknowledged? Not today.
Diamond’s Komasava and TitoM and Yupee’s Tshwala Bam were global sensations. But when it came to Grammy love, it seems someone forgot to invite the whole of Africa to the table this time around.
Sure, the Grammys gave us the shiny new Best African Music Performance category—like handing over a plastic fork while the others get silverware. It’s progress, but let’s hold off on the celebratory soda.
This year, Chris Brown’s Sensational landed a spot in the category, sparking mixed reactions. While it features Afro-inspired vibes, it raises the question: are we honouring African artistry or just borrowing the sound?
The issue? The Grammys still believe global success needs a Western accent. Forget the millions of streams on platforms like Boomplay and Audiomack; if it’s not viral on TikTok U.S. or playing at Coachella, it might as well not exist.
It’s like someone saying they “adore African culture” but only knowing two words: Hakuna Matata.
And honestly, what else does an African artiste have to do to get noticed? Diamond Platnumz has been running on turbo mode—world tours, bilingual hits, and collaborations spanning continents. TitoM and Yupee’s Tshwala Bam had clubs on lockdown across the continent and beyond.
Here’s the thing: African music doesn’t need validation to shine. It’s already redefining global charts, filling stadiums, and inspiring trends. But it would be nice if the Grammys stopped acting like they discovered African music yesterday.
Until then, we’ll keep vibing, munching on zege, and watching as Africa continues its global takeover—Grammys or not.
What do you think? Should we send the Grammys a sizzling plate of chips mayai with a side of hits, or wait for them to catch up on their own time?Continue Reading
South Africans love a good controversy, especially if it involves beauty queens, nationality debates, and some heated social media drama.Continue Reading
Key improvements will include beautifully landscaped gardens featuring native plants, providing serene retreats for visitors amidst the fort’s rich heritage.Continue Reading
Katika mfumo wa uchumi wa sarafu kidunia (fiat money system), fedha zilizo katika mzunguko zinaweza kupitia mabadiliko kadhaa kutokana na mwenendo wa kiuchumi, matumizi ya kila siku, na jinsi zinavyohifadhiwa na watumiaji. Hivyo, kutokana na mambo haya, uimara, uthabiti, na thamani yake yanategemea pia hali hizo.Continue Reading
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu Watanzania 64 kulipa faini ya Sh40,000 kila mmoja au kwenda jela miezi sita, baada ya kupatikana na hatia ya kuondoka ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwenda Afrika Kusini bila kufuata taratibu za uhamiaji.Continue Reading
Dar es Salaam, lango kuu la kiuchumi Tanzania, barabara zake ni hatari kwa magari. Barabara kuu zote zipo kwenye ujenzi, zile za mitaani na zenye kuunganisha vitongoji, zimesheheni mashimo.
Hatari zaidi, upo mfumo wa kuziba mashimo kwa kuweka viraka. Mafundi wanachonga lile shimo, wanalitanua na kulipa umbo la pembe nne. Baada ya utanuzi huo, wanaliacha hadi miezi miwili. Hatari kwa madereva, hasa wageni wa barabara husika.
Wazoefu huendesha kwa uzoefu. Anafika mahali anapunguza mwendo kwa sababu ameshajua shimo lililochongwa lipo karibu. Hakuna taa wala alama za tahadhari kuwa mbele kuna shimo.
Miezi michache iliyopita nchi ilipita kwenye mafuriko. Dar es Salaam iliathirika. Miundombinu ikatoneshwa, sasa ni mibovu ajabu. Zile hadithi kuwa watu wanaoishi mabondeni ndiyo hawapo salama, tafsiri inahama.
Dar es Salaam kila sehemu ni bondeni. Hata maeneo yaliyopo uwanda wa juu yalikumbwa na mafuriko na sasa barabara ni taabani. Unapoendesha gari Dar es Salaam, nenda taratibu. Utaua chombo, unaweza kupoteza maisha pia.
Anzia Mikocheni hadi Tegeta, Mbezi Beach mpaka Ununio, usiku unaweza kukuta magari mitaroni. Ukimuuliza dereva, anasema alikuwa anakwepa shimo. Mwenyewe aliendesha mwendo wa kasi akidhani barabara ni salama. Dar siyo salama.
Ujenzi holela, fedha zinazidi nguvu sayansi. Utatuzi wa matatizo kwa kutumia mawazo kidogo yenye mtazamo wa muda mfupi, badala ya kufikiria miaka mingi ijayo. Hapa ndipo nchi inaumizwa na inauawa taratibu. Bila hatua za haraka tutarithisha watoto na wajukuu nchi mfu.
Mvua kidogo, barabara zinatengeneza matundu kila mahali. Dar es Salaam haina barabara ambayo unaweza kuendesha japo kilomita 120 kwa saa, hata kama barabarani upo peke yako na hakuna alama za udhibiti mwendo. Sababu barabara ni mbovu, haziaminiki. Ni mitego tupu kwa madereva.
Barabara zinazojengwa, zinabanwa na kuwekewa matofali yenye kuakisi taa. Yale matofali barabarani ni salama kama dereva unaendesha kipindi ambacho hakuna gari lingine linatokea unapoelekea. Hatari zaidi, dereva wa gari linalokuelekea awashe taa kali. Hutaona tofali. Madereva wengi huyagonga matofali na kuharibu magari.
Askari wa usalama barabarani na magari ya breakdown, kwao ni mtaji gari likigonga tofali barabarani. Mimi ni shuhuda wa tukio la gari aina ya Toyota IST, liligonga tofali eneo la Makumbusho, Kijitonyama, mbele ya Millenium Tower. Kulitoa gari pale kulipeleka Kituo cha Polisi Kijitonyama, kadirio la kilomita moja na nusu, breakdown walilipwa Sh250,000 na trafiki akataka apewe Sh150,000, eti ili amalize kesi.
Trafiki akasema, asingelipwa hiyo pesa, angeandika ripoti kwenda Tanroads kuwa gari lile, IST, liliharibu tofali la ukingo wa barabara. Ukiangalia, tofali ni zima, IST uso wa mbele umeharibika, hadi mifuko ya usalama (airbags), ilitoka.
Ni Tanzania na Watanzania. Trafiki (askari wa usalama barabarani), anafika kwenye ajali, hataki kujua watu ndani ya gari wapo salama kiasi gani, anaomba Sh150,000, eti ndiyo amsaidie mwenye gari kuepuka kesi. Unajiuliza, hata ukienda mahakamani, kesi ya uzito gani?
Kuhusu ubovu wa barabara Dar es Salaam, mashimo na uwekaji viraka unaochukua muda mrefu, inadhihirisha namna ambavyo ujenzi unafanyika chini kabisa ya viwango mbele ya viongozi wanaoomba bajeti, wanaopewa na kuzisimamia. Wataalamu pia wapo.
Janga la taifa ni rushwa na ufisadi. Viongozi na wataalamu wanaotegemewa kuisaidia nchi, wanafuja fedha za miradi, matokeo yake miundombinu inajengwa nchini ya kiwango. Makandarasi wanahonga kushinda zabuni. Vigezo vya kisayansi havina tija mbele ya mlungula.
Kifo cha nchi ni kuwa na viongozi wenye kuwaza leo badala ya kesho. Matatizo mengi Dar es Salaam ni ujenzi unaoingilia njia za maji. Mwenye fedha anahamisha uelekeo wa maji, matokeo yake madhara makubwa hutokea pale mvua zinaponyesha mfululizo. Maji yanapanda hadi kwenye miinuko.
Kama mapinduzi ya fikra hayatakaribishwa Tanzania, ikapatikana tiba ya jinsi ya kutatua matatizo ya watu kwa usahihi, rushwa ikachukiwa kutoka ndani ya fikra na moyoni, suluhu zikatazamwa za kudumu na kujenga dhamira ya kuiacha nchi salama kwa vizazi vijavyo, historia itatoa hukumu mbaya kwa hiki kizazi chetu kinachoishi sasa.
Ukipita Unguja, kasi ya ujenzi wa barabara ni kubwa. Barabara bora na imara kabisa. Unaweza kupata jawabu kwamba miaka mitatu ijayo, Unguja (Zanzibar), itakuwa jiji lenye barabara nzuri na za uhakika, wakati Dar es Salaam ikibaki hohehahe na barabara zake zinazoua magari.Continue Reading
Wasifu wa Msingi wa Idadi ya Watu na Hali ya Kiuchumi wa Tanzania wa Mwaka 2022 ulionyesha zaidi ya kaya nne kati ya tano nchini (asilimia 81.6) zinategemea mkaa na kuni, kama chanzo cha nishati ya kupikia.Continue Reading
CFAO Mobility Tanzania is tackling long-standing misconceptions that have kept majority of Tanzanians from embracing European car brands, such as Volkswagen, Mercedes-Benz, and Fuso.Continue Reading
This girl (call her Dinnah) is one of the two akauntas at this neighbourhood bar you like because the management listens when they’re asked to reduce the music volume.Continue Reading
Zanzibar Investment News Tanzania Investors Ltd © 2025