Tashico kujenga meli nne Bahari ya Hindi
Serikali kupitia Kampuni ya Meli Tanzania (Tashico), imeanza mchakato wa kujenga meli ya mizigo katika Bahari ya Hindi ikiwa ni mkakati wa kuboresha huduma za usafiri na usafirishaji kwenda mashariki ya mbali.Continue Reading