Dorothy ajitosa kupambana na Samia
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu baadaye mwaka huu, akitaja mambo manne yaliyomsukuma kuitaka nafasi hiyo.Continue Reading